Marjorie Oludhe Macgoye

Mwandishi wa Riwaya, Insha na Mashairi

Marjorie Oludhe Macgoye (21 Oktoba 1928 - 1 Desemba 2015) alikuwa mwandishi wa riwaya, insha na mashairi.[1] Marjorie Oludhe Macgoye alizaliwa mwaka wa 1928 kama Marjorie Klein mjini Southampton, Uingereza. [1] Alihamia Kenya mwaka wa 1954 na kuolewa na D.G.W. Oludhe-Macgoye 1960 akaingia katika ukoo wake wa Kijaluo.[1] Mwaka wa 1971, alitoa mkusanyiko wa mashairi Poems from East Africa uliokuwa pamoja na "A Freedom Song". [1] Riwaya yake ya mwaka 1986 Coming to Birth ilishinda Tuzo la Sinclair (Sinclair Prize). [1] Alitajwa kuwa "mama wa fasihi ya Kenya". [1] [2]

Marjorie Oludhe Macgoye

Kazi Zake

hariri
  • 1972: Murder in Majengo
  • 1977: Song of Nyarloka and Other Poems
  • 1986: Coming to Birth
  • 1987: Street Life
  • 1987: The Present Moment
  • 1994: Homing In
  • 1997: Chira
  • 2005: A Farm Called Kishinev

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 1.5 mhariri: Simon Gikandi. Encyclopedia of African literature. London: Routledge. uk. 135. ISBN 0415230195. {{cite book}}: Cite has empty unknown parameter: |coauthors= (help)
  2. "Coming to Birth". The Feminist Press. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-27. Iliwekwa mnamo 2010-01-10. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |coauthors= (help)
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marjorie Oludhe Macgoye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.