Mark Strand (11 Aprili 193429 Novemba 2014) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1999 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Mark Strand, 2012

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mark Strand kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.