11 Aprili
tarehe
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 11 Aprili ni siku ya 101 ya mwaka (ya 102 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 264.
MatukioEdit
WaliozaliwaEdit
- 146 - Septimius Severus, Kaisari wa Dola la Roma (193-211)
- 1934 - Mark Strand, mshairi kutoka Marekani
- miaka ya 1960 - Reggie Rockstone, mwanamuziki kutoka Ghana
WaliofarikiEdit
- 678 - Papa Donus
- 1903 - Mtakatifu Gemma Galgani, bikira nchini Italia
- 1993 - Janet Bragg, rubani wa kike kutoka Marekani
- 2013 - Jonathan Winters, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
SikukuuEdit
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Stanislaus, Antipa wa Pergamo, Filipo wa Gortina, Domnio wa Split, Barsanufi wa Gaza, Isaka wa Spoleto, Gemma Galgani n.k.
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 11 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |