Markela Bejleri (amezaliwa 28 Mei 2001) ni mchezaji wa mpira wa miguu anayecheza kama kiungo katika klabu ya Ureno ya Länk FC Vilaverdense ya wanawake katika Campeonato Nacional Feminino. Alizaliwa Kanada, lakini anaiwakilisha timu ya taifa ya wanawake ya Albania.[1][2]

Bejleri apokea tuzo ya Mchezaji Chipukizi Bora wa L1O mwaka 2018.

Marejeo

hariri
  1. "Markela Bejleri Quinnipiac profile". Quinnipiac Bobcats.
  2. "Freshmen Lead Bobcats in 3-1 Win over Loyola". Quinnipiac Bobcats. Septemba 1, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Markela Bejleri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.