Marlon Brando
Marlon Brando (3 Aprili 1924 – 1 Julai 2004) alikuwa mwigizaji wa filamu maarufu wa Kimarekani. Anafahamika zaidi kwa kuwa mhusika mkuu katika baadhi ya filamu zilizotamba sana miaka ya nyuma kama vile; A Streetcar Named Desire (1951), The Wild One (1953), The Godfather (1972), Superman (1978), Apocalypse Now (1979), na The Island of Dr. Moreau (1996).
Marlon Brando | |
---|---|
Marlon Brando, mnamo 1961. | |
Amezaliwa | Marlon Brando Jr. Aprili 3, 1924 Omaha, Nebraska, Marekani |
Amekufa | 1 Julai 2004 (umri 80) Los Angeles, California, Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1944-2004 |
Ndoa | Anna Kashfi (1957-1959) Movita Castaneda (1960-1968) Tarita Teriipaia (1962-1972) |
Watoto | 11 |
Viungo vya nje
hariri- Marlon Brando kwenye Internet Movie Database
- Marlon Brando katika TCM Movie Database
- Marlon Brando katika Internet Broadway Database
- Official Website of Marlon Brando Ilihifadhiwa 20 Machi 2008 kwenye Wayback Machine.
- The Oddfather Ilihifadhiwa 11 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine., Rolling Stone, Jod Kaftan, 25 Aprili 2002
- Marlon Brando: The Actor's Actor Ilihifadhiwa 20 Septemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Quotes from an interview with Newsweek March 13,1972 Ilihifadhiwa 1 Juni 2009 kwenye Wayback Machine.
- Court TV: Christian Brando: A Hollywood Family Tragedy Ilihifadhiwa 5 Desemba 2004 kwenye Wayback Machine.
- Premiere: Remembering Brando Ilihifadhiwa 19 Novemba 2008 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marlon Brando kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |