Marokau

Marokau ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Hikueru. Eneo la kisiwa ni 14.7 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Vaiori. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 91. Watu wakaao kisiwani kwa Marokau huongea Kituamotu na Kitahiti.

Kisiwa cha Marokau
Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.