Konje

(Elekezwa kutoka Martes)
Konje

Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia: Mustelidae (Wanyama walio na mnasaba na chororo)
Nusufamilia: Mustelinae (Wanyama wanaofanana na chororo)
Jenasi: Martes
Spishi: M. americana

M. flavigula
M. foina
M. gwatkinsii
M. martes
M. melampus
M. pennanti
M. zibellina

Konje (Martes) ni jenasi ya wanyama wadogo wa familia Mustelidae wenye miili myembamba na mikia mirefu.

Jenasi

hariri
  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Konje kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.