Open main menu

Walanyama

(Elekezwa kutoka Carnivora)

Walanyama (kwa Kilatini: Carnivora) ni mpangilio wa kisayansi ambao hujumuisha aina zaidi ya 280 za wanyama.

Ukubwa wao unaanzia kwa Weasel mdogo (Mustela nivalis), kama gramu 25 (oz 0.88) na sentimeta 11 (in 4.3), hadi Bear polar (Ursus maritimus), ambaye anaweza kupima kilogramu 1,000 (lb 2,200), na Tembo-bahari wa kusini (Mirounga leonina), ambao wanaume wazima wanafikia kilogramu 5,000 (lb 11,000) na urefu wa mita 6.9 (futi 23).

PichaEdit

TanbihiEdit

<references>

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Walanyama kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.