Mustelidae
Chororo mkia-mrefu
Chororo mkia-mrefu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia ya juu: Musteloidea
Familia: Mustelidae (Wanyama walio na mnasaba na chororo)
Fischer, 1817
Ngazi za chini

Nusufamilia 4:

Mustelidae ni jina la Kisayansi la familia ya chororo, fisi-maji, nyegere, melesi, kicheche na konje.

Spishi

hariri

FAMILIA MUSTELIDAE (spishi 57 na jenasi 22)