Martin Archer Flavin (2 Novemba 188327 Desemba 1967) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1944, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Journey in the Dark.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martin Flavin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.