1883
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1850 |
Miaka ya 1860 |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880
| Miaka ya 1890
| Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| ►
◄◄ |
◄ |
1879 |
1880 |
1881 |
1882 |
1883
| 1884
| 1885
| 1886
| 1887
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1883 BK (Baada ya Kristo).
MatukioEdit
WaliozaliwaEdit
Kalenda ya Gregori | 2022 MMXXII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5782 – 5783 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2775 |
Kalenda ya Ethiopia | 2014 – 2015 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1471 ԹՎ ՌՆՀԱ |
Kalenda ya Kiislamu | 1444 – 1445 |
Kalenda ya Kiajemi | 1400 – 1401 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2077 – 2078 |
- Shaka Samvat | 1944 – 1945 |
- Kali Yuga | 5123 – 5124 |
Kalenda ya Kichina | 4718 – 4719 辛丑 – 壬寅 |
- 19 Machi - Norman Haworth (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1937)
- 24 Juni - Victor Hess (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936)
- 3 Julai - Franz Kafka, mwandishi wa Kijerumani kutoka milki ya Austria-Hungaria
- 17 Septemba - William Carlos Williams (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1963)
- 8 Oktoba - Otto Warburg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1931)
- 2 Novemba - Martin Flavin, mwandishi kutoka Marekani
WaliofarikiEdit
- 13 Februari - Richard Wagner, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 30 Aprili - Édouard Manet, mchoraji kutoka Ufaransa
- 20 Juni - John William Colenso, askofu wa Kanisa Anglikana nchini Afrika Kusini kutoka Uingereza
Wikimedia Commons ina media kuhusu: