Martina
Martina ni albamu ya saba ya msanii wa Muziki wa Country wa Marekani Martina McBride. Ilitolewa mnamo Sptemba 30, 2003. Iliwahikuwa ya kwanza katika chati za Country album, nay saba katika chati za US album. Imedhibitishwa mara mbili kuwa katika kiwango cha Multi-Platinum. Albamu hii ilitoa Single nne katika chati za Country: "This One's for the Girls" katika #3, "In My Daughter's Eyes" katika #4, "How Far" katika #12 na "God's Will" katika #16.
"This One's for the Girls", ambayo imeshirikisha sauti za kuandamana kutoka kwa Faith Hill, Carolyn Dawn Johnson, na mabinti wawili wa McBride, kilikuwa kibao cha kwanza na cha pekee kufika nafasi ya kwanza katika chati za Adult Contemporary. Kundi la Pop la wasichana Girl Authority walishirikisha "This One's for the Girls" kwa albamu yao ya pili Road Trip.
Hamna Jina | ||
---|---|---|
Studio album |
Albamu hii pia inashirikisha live concert ya wimbo wa kitambo "Over the Rainbow". Kibao cha Pili "She's a Butterfly", kinamshirikisha Big & Rich katika sauti za nyuma. Ricky Skaggs anacheza mandolin na kuimba sauti za nyuma pamoja na bibiye, Sharon White, katika kibao cha "Reluctant Daughter", ambacho kilipangwa na Skaggs. Kibao , "Wearing White", kinashirikisha Vince Gill katika sauti za kuandamana. Toleo la ‘Limited Edition’ lililotolewa kupitia Wal-Mart retail stores linashirikisha kibao cha ziada cha "Show Me". Kibao hiki sasa kinaweza kupatikana katika orodha ya uchezaji iitwayo Playlist: The Very Best of Martina McBride.
Mpangilio wa Vibao
hariri- "So Magical" (Brett James, Angelo, Hillary Lindsey) – 3:52
- "She's a Butterfly" (Big Kenny, John Rich) – 4:00
- feat. Big & Rich
- "City of Love" (Troy Lancaster, Tommy Polk) – 2:59
- "This One's for the Girls" (Chris Lindsey, H. Lindsey, Aimee Mayo) – 4:04
- "How Far" (Shaye Smith, Ed Hill, Jamie O'Neal) – 3:57
- "Reluctant Daughter" (Jon Vezner, Sally Barris) – 2:36
- feat. Ricky Skaggs na Sharon White
- "Wearing White" (Tommy Lee James, Lisa Drew) – 2:51
- akishirikisha Vince Gill
- "When You Love Me" (Angelo, B. James, H. Lindsey) – 4:32
- "In My Daughter's Eyes" (James Slater) – 3:14
- "Learning to Fall" (Bill Deasy, Odie Blackmon) – 3:57
- "God's Will" (Barry Dean, Tom Douglas) – 5:50
- "Over The Rainbow" (Howard Arlen, E. Y. Harburg) – 3:34
- Nyimbo zilizorekodiwa live
- "Show Me"
- Kibao cha ziada cha ‘Limited Edition’
Vibao vya Single
haririWahudumu
haririWalivyoorodheshwa katika vidokezo vya albamu hiyo.[1]
- Robert Bailey – sauti za kuandamana
- Big & Rich – sauti za chini
- Matt Chamberlain – Drums
- J. T. Corenflos – gitaa ya stima
- Wayne Dahl – steel guitar
- Dan Dugmore – steel guitar, gitaa ya nyuzi 12
- Stuart Duncan – fiddle
- Mark Fain – upright bass
- Kim Fleming – sauti za chini
- Paul Franklin – steel guitar
- Greg Foresman – gitaa ya stima
- David Grissom – gitaa ya stima
- Wes Hightower – sauti za nyuma
- Faith Hill – sauti za nyuma
- Vince Gill – sauti za nyuma
- Vicki Hampton – sauti za nyuma
- Tony Harrell – Wurlitzer
- Greg Harrington – drums
- John Hobbs – piano, Kinanda cha Hammond B-3
- Dann Huff – gitaa ya stima
- David Huff – drum machine programming, percussion, "big drum"<!—isemavyo liner note-->
- Carolyn Dawn Johnson – sauti za chini
- Troy Johnson – sauti za chini
- Hillary Lindsey – sauti za chini
- B. James Lowry – gitaa ya akostiki
- Delaney McBride – sauti za chini
- Emma McBride – sauti za chini
- Martina McBride – sauti za lead na za chini (background)
- Jim Medin – piano
- John Mock – pennywhistle
- Tom Roady – percussion
- Marty Schiff – gitaa ya akostiki
- Ricky Skaggs – sauti za chini, mandolin
- Jimmie Lee Sloas – gitaa ya bass
- Glenn Snow – drums
- Bryan Sutton – gitaa ya akostiki, mandolin
- Jeffrey Taylor – accordion
- Biff Watson – gitaa ya akostiki
- Sharon White – sauti za nyuma
- Lonnie Wilson – drums
- Glenn Worf – gitaa ya bass
- Jonathan Yudkin – fiddle, mandolin, violin, viola, cello
Nyuzi zote zimechezwa na Nashville String Machine, zikaelekezwa na kupangwa na Chris McDonald.
Chati
haririAlbamu – Billboard (Marekani Kaskazini)
Mwaka | Chati | Nafasi |
---|---|---|
2003 | Top Country Albums | 1 |
2003 | Billboard 200 | 7 |
Singles – Billboard (Marekani Kaskazini)
Mwaka | Single | US Country | US Hot 100 | US AC |
---|---|---|---|---|
2003 | "This One's for the Girls" | 3 | 39 | 1 |
2004 | "In My Daughter's Eyes" | 4 | 39 | 3 |
"How Far" | 12 | 68 | ||
2005 | "God's Will" | 18 | 85 |
Marejeo
hariri- ↑ (2003) Album notes for Martina by Martina McBride [CD]. RCA Records (RCA82876-54207-2).
Alitanguliwa na Greatest Hits Volume II ya Alan Jackson |
Top Country Albums Albamu za Nafasi ya Kwanza 18 Oktoba - 24 Oktoba 2003 |
Akafuatiwa na Greatest Hits Volume II ya Alan Jackson |