Martti Ahtisaari

Tuzo Nobel.png

Martti Oiva Kalevi Ahtisaari (amezaliwa tar. 23 Juni 1937) alikuwa Rais wa zamani wa Finland (1994–2000), anafahamika zaidi kwa kuwa kama Mwanadiplomasia wa Umoja wa Mataifa na msuluhishi. Mwaka wa 2008 amepata Tuzo ya Nobeli ya Amani, kwa kazi yake ya kuleta amani ya kimataifa.

Martti Ahtisaari.

Viungo vya NjeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martti Ahtisaari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.