Martuni (Kiarmenia: Մարտունի, pia kwa majina ya Kirumi kama Martuny; awali waliita Mets Kznut, kuanzia 1830-1922, Karanlug, Nerkin Karanlukh, Nerkin Gharanlugh, na pia kwa jina la Kirusi Nizhniy-Karanlug) ni mji uliopo kwenye Mkoa wa Gegharkunik huko nchini Armenia. Upo karibu na Ziwa Sevan ambalo ni ziwa kubwa sana katika Kaukazi. Idadi yake ya wakazi imekadiriwa kuwa takriban 11,987 kwa mwaka wa 2008.

Mji wa Martuni, Armenia

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martuni, Armenia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.