Mary Nagu

Mary Nagu (amezaliwa tarehe 11 Mei 1952) ni mbunge wa jimbo la Hanang katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Nagu

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Mary Nagu (3 Juni 2008). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.