Masaji ni hali ya kuukanda na kuusugua mwili ili uweze kujihisi vizuri. Masaji hufanywa katika chumba kinachojulikana kwa Kiingereza kama spa.

Wanariadha wa Marathon wakipata masaji huko Taipei, Taiwan.
Masaji nchini Botswana.

Malengo ya masaji

hariri
  • Masaji huufanya mwili uwe umelegea na kujisikia vizuri
  • Masaji husaidia damu kuzunguka vizuri mwilini
  • Masaji husaidia kuondoa huzuni na mawazo mazito.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Masaji kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.