Taipei ni mji mkuu wa Jamhuri ya China kwenye kisiwa cha Taiwan. Ni pia mji mkubwa wa Taiwan.

Jiji la Taipei
Nchi Jamhuri ya China
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 2,619,920
Tovuti:  www.taipei.gov.tw
"Shilin Night Market"

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 10 wanaoishi katika mji huu.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Taipei kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.