Mashindano ya baiskeli
(Elekezwa kutoka Mashindano ya baisikeli)
Mashindano ya baiskeli ni mchezo maarufu katika nchi nyingi duniani unaofanyika kwa namna mbalimbali: kwa siku moja tu au kwa siku kadhaa mfululizo, kwa mtu mmojammoja au kwa vikundi, katika barabara za kawaida, katika njia za mashambani au katika uwanja maalumu, n.k.
Kwa vyovyote mshindi ni yule aliyendesha baiskeli yake kwa kasi zaidi hadi lengo lililopangwa.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Mashindano ya baiskeli kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |