Masoko
Masoko ni jina linaloweza kutaja mambo mbalimbali kama vile
- wingi wa soko kama sehemu ya uuzaji
- masoko ya kidijiti[1]
- ukaguzi wa masoko[2]
- uuzaji wa biashara ya ndani[3]
Pia mahali panapopata jina kutokana na kuwepo kwa soko
- Kilwa Masoko, Mkoa wa Lindi, Tanzania
- Masoko (Rungwe), Tanzania
- Masoko (Mbeya Vijijini), Tanzania
Tanbihi
hariri- ↑ Nini Masoko ya Digital? Archived 12 Juni 2018 at the Wayback Machine. Ufafanuzi.HubSpot Blog
- ↑ ""Uhakiki wa Masoko ni nini?" Maonyesho na Maana katika Uuzaji wa Dunia "". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-10-03. Iliwekwa mnamo 2018-10-04.
- ↑ Forbes Feb 4, 2015