Mason Holgate

Mchezaji mpira wa Uingereza

Mason Holgate (alizaliwa 22 Oktoba 1996) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza katika klabu ya Everton na timu ya taifa ya Uingereza.

Mason Holgate
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mason Holgate kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.