Masoud Abdalla Salim

Masoud Abdalla Salim (amezaliwa 24 Oktoba, 1962) ni mbunge wa jimbo la Mtambile katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Masoud Abdalla Salim (25 Aprili 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.