Massouda Jalal

Mwanasiasa wa Afghanistan

Dr. Massouda Jalal (داکتر مسعوده جلال ; kuzaliwa 17 Januari 1964) ni mwanamke wa kwanza katika historia ya Afghanistan kuhudumu katika ofisi ya Rais mwaka 2002 na kurudia tena mwaka 2004.[1]

Dkt Massouda Jalal katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa
Dkt Massouda Jalal katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa

Aliweza kuonyesha usawa kwa kuwa mwanamke wa kwanza kuwania nafasi ya urais wa Afghanistan, katika jamii yenye ubaguzi mkubwa ambapo mwanamke alikuwa akijihusisha katika mambo ya kijamii anaonekana kama mtu asiyefaa, asiyekubalika na ulipigwa marufuku hapo awali.[2]

Marejeo hariri

  1. "dr massouda jalal - Tafuta na Google". www.google.com. Iliwekwa mnamo 2022-03-23. 
  2. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld | The Leader in Refugee Decision Support". Refworld (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-23. 
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Massouda Jalal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.