Taji

(Elekezwa kutoka Mataji)

Taji (kwa Kiingereza "crown") ni mfano wa bangili ambalo linavaliwa kichwani na baadhi ya viongozi wa siasa na pengine wa dini, kama vile mfalme na askofu katika matukio fulani muhimu.

Taji la zamani la Dola Takatifu la Roma na la Ufalme wa Italia.
Taji la mfalme wa Bavaria.
Taji la mkuu wa Ufalme wa Muungano.

Linamaanisha mamlaka yake.

Kadiri ya Injili, kwa dhihaka Yesu alivikwa taji la miba ambalo lilimtia uchungu na maumivu makali siku ya Ijumaa kuu.

Pengine watawa wa kike wanavalishwa taji la nadhiri katika sikukuu zao.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.