Mathias Meinrad Chikawe
Mathias Meinrad Malome Chikawe (amezaliwa 30 Mei 1951) ni Mbunge wa jimbo la Nachingwea katika Bunge la Tanzania, awamu ya 2005 hadi 2010[1]. Anatokea katika chama cha CCM. Katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Chikawe alikuwa Waziri wa Sheria. Mwaka wa 1982 alipata shahada ya tatu katika somo la sheria ya kimataifa huko Uholanzi.
Tazama pia
haririMarejeo
hariri- ↑ "Mengi kuhusu Mathias Meinrad Malome Chikawe". 10 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
Viungo vya nje
hariri- Wasifu ya Chikawe ktk tovuti ya Bunge Archived 21 Julai 2009 at the Wayback Machine.
- Tovuti ya Bunge la Tanzania
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |