Matsemela Manaka

Mwandishi wa Afrika kusini

Matsemela Manaka (amezaliwa 1956) ni mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa ameandika tamthiliya tangu miaka ya 1970. Ni mwanzilishaji wa Soyikwa African Theatre Group.

Maandishi yake hariri

  • Egoli: City of Gold (tamthiliya, 1981)
  • Pula (tamthiliya, 1990)

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matsemela Manaka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.