Matt DeHart (amezaliwa 11 Juni 1984) ni raia wa Marekani na mchambuzi wa zamani wa jeshi la kiintelijensia la anga la nchini Amerika anayejulikana kwa kuwa mmoja wa wanakikundi wa makundi mbalimbali yasiyojulikana ya udukuzi na mtandao wa WikiLeaks na kudai kupokea hati zilizoainishwa utovu wa nidhamu mkubwa uliofanywa na CIA.[1]

Matt DeHart

Matt DeHart akiwa Canada c. 2014
Amezaliwa Matt DeHart
11 Juni 1984 (1984-06-11) (umri 39)
USA
Kazi yake Mchambuzi wa mifumo ya kompyuta, Mdukuzi

Alishtakiwa kwa madai ya kumiliki picha zisizofaa za wavulana wadogo mnamo 2010,[2] lakini anadai kwamba hii ilikuwa njia ya uwongo walioyoitumia ili kumuadhibu kwa harakati zake za mtandaoni. Hukumu ya jaji juu ya kesi hiyo ilipata kuaminika, hata hivyo, alifungwa gerezani kwa miezi 21 bila kupata ushahidi wa madai hayo.[3] Baada ya kuachiliwa kwa dhamana mnamo 2012, hakufanikiwa kupata hifadhi nchini Canada, akidai aliteswa na FBI kuhusu madai ya kumiliki picha zisizofaa kutoka kwa wavulana wadogo. Mnamo Novemba 2015 alikutwa na hatia na kupewa hukumu ya miaka 7 na nusu.[4]>[5][6][7]

Marejeo hariri

  1. emptywheel (2015-03-20). "Is Matt DeHart Being Prosecuted Because FBI Investigated CIA for the Anthrax Leak?". emptywheel (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2020-02-19. 
  2. David Kushner. ""I Might Have Some Sensitive Files": The Strange Saga And Dark Secrets Of Matt DeHart". BuzzFeed (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-02-19. 
  3. Hunter Stuart (2013-09-12). "Self-Described Anonymous Member Claims Government Drugged Him". HuffPost (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-02-19. 
  4. News, Canada (2015-11-13). "‘Extremely rational’ Anonymous hacktivist Matt DeHart avoids 70-year prison term with child porn plea deal | National Post" (kwa en-CA). Iliwekwa mnamo 2020-02-19. 
  5. Douglas Quan Updated: September 11, 2013 (2013-09-11). "American seeks refuge in Canada claiming persecution because of hacker connections | canada.com" (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-20. Iliwekwa mnamo 2020-02-19. 
  6. News (2014-06-06). "Alleged hacker Matt DeHart asks for mercy at his Canadian detention review hearing. He gets none | National Post" (kwa en-CA). Iliwekwa mnamo 2020-02-19. 
  7. News (2014-08-16). "Group of Anonymous hacktivists in Toronto protest treatment of asylum seeker Matt DeHart | National Post" (kwa en-CA). Iliwekwa mnamo 2020-02-19.