Matt Thiessen
Matthew Arnold Thiessen (alizaliwa Kanada, 12 Agosti 1980) ni mwanamuziki wa Marekani anayejulikana kwa kuwa mwasisi mwenza, mwimbaji mkuu, mpiga gitaa, mpigaji kinanda, na mwandishi mkuu wa nyimbo wa bendi ya rock Relient K.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ Thiessen, Matthew (Julai 19, 2010). "Let the solo record begin. :)". Twitter. Iliwekwa mnamo Julai 22, 2010.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Matthew Thiessen on Twitter", Twitter. (en)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Matt Thiessen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |