Matthias Joseph Isuja

Matthias Joseph Isuja (14 Agosti 1929 - 13 Aprili 2016) alikuwa askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Laurean Rugambwa mwaka 1972.

Tangu mwaka huo hadi 2005, alipostaafu, alikuwa askofu wa Jimbo la Dodoma.

Kwa asili, Askofu Isuja ni Mrangi aliyetokea Haubi.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matthias Joseph Isuja kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.