Mawali

(Elekezwa kutoka Mau)
Mawali
(Moringa stenopetala)
Mawali huko Uhabeshi
Mawali huko Uhabeshi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Brassicales (Mimea kama kabichi)
Familia: Moringaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mlonge)
Jenasi: Moringa
Spishi: M. stenopetala
(Baker f.) Cufod., 1957

Mawali au mau (Moringa stenopetala, kutoka Kisomali mawali na mau) ni mti wa jenasi pekee, Moringa, ya familia Moringaceae. Asili ya mti huu ni Afrika ya Mashariki. Hupandwa katika mashamba kwa tungazi huko Konso, Uhabeshi, na hutumika kwa chakula cha watu, kupatia mimea mingine ya mazao kivuli na mitishamba.

  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mawali kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.