Maureen Connell (amezaliwa Nairobi,nchini Kenya, 2 Agosti 1931) ni mwigizaji wa filamu wa Uingereza. [1]

Maisha yake hariri

Mnamo Julai 1956, Connell aliolewa na muongoza, mwandishi na mtayarishaji filamu wa Uingereza John Guillermin. Makazi yao yalikuwa Los Angeles kuanzia mwanzoni mwa mwaka 1968.

Walikuwa na watoto wawili, Michelle na Michael-John. Baadae huyo wa mwisho alikufa katika ajali ya gari mwaka 1989 huko Truckee, California.

Filamu zilizochaguliwa hariri

Televisheni hariri

  • ITV Television Playhouse (1955)

Marejeo hariri

  1. "Maureen Connell", BFI. Retrieved on 2020-10-10. (en) Archived from the original on 2012-10-21.  Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-10-21. Iliwekwa mnamo 2020-10-10.
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maureen Connell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.