Mawali
Mawali (Moringa stenopetala) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mawali huko Uhabeshi
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mawali au mau (Moringa stenopetala, kutoka Kisomali mawali na mau) ni mti wa jenasi pekee, Moringa, ya familia Moringaceae. Asili ya mti huu ni Afrika ya Mashariki. Hupandwa katika mashamba kwa tungazi huko Konso, Uhabeshi, na hutumika kwa chakula cha watu, kupatia mimea mingine ya mazao kivuli na mitishamba.
Picha
hariri-
Majani
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mawali kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |