Mawson Peak

Mawson Peak ni mlima wa Australia wenye kimo cha mita 2,745 juu ya usawa wa bahari. Uko kusini mwa Bahari ya Hindi na ni mrefu kuliko milima yote ya bara.

Mlima Mawson

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Australia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mawson Peak kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.