Max Steel ni kipindi cha filamu kinachohusu kijana mdogo aendaye kwa jina la Max kufiwa na baba yake ambaye alikuwa mwanasayansi na kufanya katika utoto wake na kuishia kulelewa na mama yake ambapo mbeleni anakutana na roboti aliyetengenezwa na marehemu baba mzazi wa Max anayeitwa Steel na kuungana kwa pamoja ilikupigana dhidi ya baba mdogo wake mwovu anayehitaji nguvu za Steel ili kuitawala dunia.

Kipindi hiki cha Max Steel kilitengenezwa kama kipindi cha serias kuanzia tarehe 25 mwezi wa pili mwaka 2000 hadi tarehe 15 mwezi wa kwanza mwaka 2002 ikifatiwa na filamu 9 mfululizo kuanzia mwaka 2004.

Filamu hii ya Max steel inahusu kaka na mdogo wa kizazi kimoja kufanya kazi kwa pamoja kama wana sayansi na baada ya uchunguzi wao na majaribio waliyo kuwa wakifanya juu ya maroboti.Na baada ya majibu mkubwa kufeli na mdogo kufanikiwa baada ya kutengeneza roboti aliyemuita steel. Kitu kilichosababisha ndugu hao kupigana kwa sababbu ya wivu wa kaka mkubwa.Baada ya mapigano hayo kukawa na ushindi wa kaka mkubwa lakini licha ya hayo yote kaka mkubwa akaamua kumuiba steel huku steel akiwa amekimbia na kwanda kuishi na mwa na wa aliye mtengeneza anayeitwa Max.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Max Steel kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.