Mazisi Kunene
Mshairi wa Afrika Kusini
Mazisi (Raymond) Kunene (12 Mei 1930 - 11 Agosti 2006) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa anajulikana kwa shairi lake kuhusu Shaka Zulu. Wakati wa sera za ubaguzi wa rangi nchini kwake alikaa ng'ambo, hasa Uingereza na Marekani ambapo alifundisha katika vyuo vikuu. Baada ya kurudi nyumbani mwaka wa 1992 akateuliwa na UNESCO kuwa mshairi mkuu wa Afrika. Alipatwa na kansa na kufariki mwaka wa 2006.
Mazisi Kunene | |
Amezaliwa | Mazisi kaMdabuli Kunene 12 Mei 1930 Durban, Afrika Kusini |
---|---|
Amekufa | 11 Agosti 2006 |
Nchi | Afrika Kusini |
Kazi yake | Mshairi |
Maandishi yake
hariri- Emperor Shaka the Great (1979)
Angalia pia
haririMarejeo
hariri- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mazisi Kunene kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |