Mbambakofi
Mbambakofi (Afzelia quanzensis)
Mbambakofi (Afzelia quanzensis)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Fabales (Mimea kama mharagwe
Familia: Fabaceae (Mimea iliyo mnasaba na mharagwe)
Nusufamilia: Caesalpinioideae (Mimea iliyo mnasaba na mnyonyore)
Jenasi: Afzelia
Sm.
Spishi: A. quanzensis
Welw.

Mbambakofi (pia mkambakusi, mkongo, mkola, mkora au mtame) (Afzelia quanzensis) ni mti mwenye mbegu nyeusi na nyekundu au rangi ya machungwa ndani ya maganda meusi.

Picha hariri

  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbambakofi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.