Mjafari

(Elekezwa kutoka Mbambangoma)
Mjafari
(Erythrina abyssinica)
Mjafari
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Fabales (Mimea kama mharagwe
Familia: Fabaceae (Mimea iliyo mnasaba na mharagwe)
Nusufamilia: Faboideae (Mimea iliyo mnasaba na mharagwe)
Jenasi: Erythrina
L.
Spishi: E. abyssinica
Lam. ex DC.

Mjafari (pia mlungu, mbambangoma au mwambangoma) (Erythrina abyssinica) ni mti mwenye miiba na maua mekundu ambayo huchanua kabla ya majani.

Picha hariri

  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mjafari kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.