Mbao FC ni klabu ya mpira wa miguu yenye makazi yake wilaya ya Ilemela, mkoa wa Mwanza, nchini Tanzania. Uwanja wa nyumbani unaitwa CCM Kirumba uliopo katika mkoa wa Mwanza.

Mafanikio hariri

Waliweza kuingia katika Ligi Kuu Tanzania Bara katika msimu wa 2015/2016.

2016/2017 hariri

Katika msimu wa mwaka 2016/2017 ni moja ya timu mbili za Mwanza zinazocheza katika Ligi Kuu. Wengine ni Toto Afrika.

2017 hariri

Mei 2017, Mbao FC ilicheza katka fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam, dhidi ya Simba Sports Club. Simba ilishinda mchezo huo kwa magoli 2-1 .

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Mbao F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.