Hii ni makala ya Mbezi ya Ubungo. Kwa makala ya Mbezi ya Mkuranga, Pwani, tafadhali fungua hapa

Kata ya Mbezi
Kata ya Mbezi is located in Tanzania
Kata ya Mbezi
Kata ya Mbezi

Mahali pa Mbezi katika Tanzania

Majiranukta: 6°47′42″S 39°15′58″E / 6.79500°S 39.26611°E / -6.79500; 39.26611
Nchi Tanzania
Mkoa Dar es Salaam
Wilaya Ubungo
Idadi ya wakazi (2012)
 - Wakazi kwa ujumla 73,414
Tovuti:  https://dsm.go.tz/ubungo
Ufukweni huko Mbezi

Mbezi ni kata ya Wilaya ya Ubungo katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 16113.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 73414 waishio humo. [1] Inasemekana jamii iliyokuwa na watu wengi ni Wagogo wanaopatikana sehemu za Mpiji Magoe mtaa wa Makuti kijiji cha Msakuzi.

Kuna wafanya biashara wadogowadogo.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Ubungo - Mkoa wa Dar es Salaam - Tanzania  

Goba | Kibamba | Kimara | Kwembe | Mabibo | Makuburi | Makurumla | Manzese | Mbezi | Mburahati | Msigani | Saranga | Sinza | Ubungo