Mbezi (Ubungo)
Kwa makala ya Mbezi ya Mkuranga, Pwani, tafadhali fungua hapa
Kata ya Mbezi | |
Mahali pa Mbezi katika Tanzania |
|
Majiranukta: 6°47′42″S 39°15′58″E / 6.79500°S 39.26611°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Dar es Salaam |
Wilaya | Ubungo |
Idadi ya wakazi (2022) | |
- Wakazi kwa ujumla | 143,803 |
Tovuti: https://dsm.go.tz/ubungo |
Mbezi ni kata ya Wilaya ya Ubungo katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 16113.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 143,803 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 73,414 waishio humo. [2] Inasemekana jamii iliyokuwa na watu wengi ni Wagogo wanaopatikana sehemu za Mpiji Magoe mtaa wa Makuti kijiji cha Msakuzi.
Kuna wafanya biashara wadogowadogo.
Tanbihi
hariri- ↑ https://www.nbs.go.tz/
- ↑ http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Archived 2 Januari 2004 at the Wayback Machine. Wilaya ya Kinondoni - Mkoa wa Dar es Salaam
Kata za Wilaya ya Ubungo - Mkoa wa Dar es Salaam - Tanzania | ||
---|---|---|
Goba | Kibamba | Kimara | Kwembe | Mabibo | Makuburi | Makurumla | Manzese | Mbezi | Mburahati | Msigani | Saranga | Sinza | Ubungo |
Makala hii kuhusu maeneo ya Dar es Salaam bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mbezi (Ubungo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |