Mbigili
(Tribulus terrestris)
Mbigili
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Zygophyllales (Mimea kama mbigili
Familia: Zygophyllaceae (Mimea iliyo mnasaba na mbigili)
Nusufamilia: Tribuloideae
Jenasi: Tribulus
Spishi: T. terrestris L.

Mbigili ni aina ya mmea ya familia Zygophyllaceae inayotambaa ardhini na ambayo matunda yake yana miiba kali inayoweza kutoboa magurudumu ya baisikeli na kuumiza miguu sana. Hutumika kama mboga hususani na wakazi wa pwani.

Picha hariri

  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbigili kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.