Mbigili
(Elekezwa kutoka Tribulus)
Mbigili (Tribulus terrestris) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mbigili ni aina ya mmea ya familia Zygophyllaceae inayotambaa ardhini na ambayo matunda yake yana miiba kali inayoweza kutoboa magurudumu ya baisikeli na kuumiza miguu sana. Hutumika kama mboga hususani na wakazi wa pwani.
Picha
hariri-
Maua
-
Tunda bichi
-
Vipande vya matunda mabivu vyenye miiba
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mbigili kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |