Mbamia
(Elekezwa kutoka Mbinda)
Mbamia (Abelmoschus esculentus) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mbamia au mbinda (Abelmoschus esculentus) ni kichaka ambacho matunda yake (mabamia au mabinda) huliwa sana katika kanda za tropiki, mara nyingi kama supu yenye kuteleza.
Picha
hariri-
Ua na majani
-
Mabamia mabichi
-
Mabamia
-
Bamia lililokatika
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mbamia kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |