Mbita Point ni mji wa Kenya magharibi, katika kaunti ya Homa Bay.

Shamba la mahindi Mbita Point,Kenya


Mbita Point
Nchi Kenya
Kaunti Homa Bay
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 62,974

Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 62,974[1].

Tanbihi

hariri
  1. Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.