Mbizi
Jenasi ya ndege wa maji walio na shingo ndefu
Mbizi | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Spishi 4:
|
Mbizi au michemba ni ndege wa maji wa jenasi Anhinga, jenasi pekee ya familia Anhingidae. Wana shingo refu na domo refu lenye ncha kali na makali ya menomeno. Huzamia chini ya maji ili kuwakamata samaki wakiuliza domo lao kama mkuki. Huzaa kwa makoloni na hujenga tago lao la vitawi mitini au kwa matete.
Spishi ya Afrika
hariri- Anhinga rufa, Mbizi (African Darter)
- Anhinga r. rufa, Mbizi wa Afrika
- Anhinga r. vulsini, Mbizi wa Madagaska
Spishi za mabara mengine
hariri- Anhinga anhinga (Anhinga)
- Anhinga melanogaster (Oriental Darter)
- Anhinga novaehollandiae (Australian Darter)
Spishi za kabla ya historia
hariri- Anhinga subvolans (Mwanzo wa Miocene ya Thomas Farm, MMA) – zamani iliainishwa katika Phalacrocorax
- Anhinga cf. grandis (Kati ya Miocene ya Kolombia mpaka mwisho wa Pliocene ya Amerika Kusini)
- Anhinga sp. (Kati ya Miocene ya Mátraszõlõs, Hungaria)
- Anhinga fraileyi (Mwisho wa Miocene mpaka mwanzo wa Pliocene ya Amerika Kusini)
- Anhinga minuta (Mwisho wa Miocene/mwanzo wa Pliocene ya Amerika Kusini)
- Anhinga pannonica (Mwisho wa Miocene/mwanzo wa Pliocene ya Tataruş-Brusturi, Hungaria na Libiya, Tunisia, Pakistan na Uthai)
- Anhinga grandis (Mwisho wa Miocene mpaka mwisho wa Pliocene ya MMA)
- Anhinga malagurala (Mwanzo wa Pliocene ya "Charters Towers", Australia)
- Anhinga sp. (Mwanzo wa Pliocene ya "Bone Valley", MMA)
- Anhinga hadarensis (Mwisho wa Pliocene/mwanzo wa Pleistocene ya Afrika ya Mashariki)
- Anhinga sp. (Mwanzo wa Pleistocene ya Coleman, MMA) – labda ni moja na Anhinga sp. "Bone Valley"
Picha
hariri-
Anhinga
-
Oriental darter
-
Australian darter