Mbono
(Jatropha curcas)
Mbono
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Malpighiales (Mimea kama mwenda-usiku)
Familia: Euphorbiaceae (Mimea iliyo mnasaba na mtongotongo)
Jenasi: Jatropha
Spishi: J. curcas
L.

Mbono au mbono kaburi (Jatropha curcas) ni mti au kichaka ambacho makokwa yake, yanayoitwa mabono, yatoa mafuta yanayofaa. Mafuta haya hutumika kutengenezea mafuta ya kikaboni (biodiesel au petroli kutoka mimea).

Kuna vichaka vingine ambavyo huitwa mbono pia, k.m.:

Picha hariri

  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbono kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.