Meghri
Meghri (Kiarmenia: Մեղրի; pia kwa jina la Kirumi Mergi, Megry, Megri, na Mogri) ni mji uliopo mjini kusini mwa nchi ya Armenia, kwenye mkoa wa Syunik karibu kabisa na mpaka wa nchi ya Iran. Uchumi wa mji unategemea sana viwanda vya vyakula, na hasa viwanda vya kuoka mikate. Katika sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2002, idadi ya wakazi wanaoishi mjini hapa ilikadiriwa kufikia kiasi cha 7,900.
Tazama pia
haririMarejeo
haririViungo vya Nje
hariri- Region (marz) of Syunik Ilihifadhiwa 3 Agosti 2018 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Meghri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |