Mekelle ni mji mkuu wa jimbo la Tigray katika Ethiopia ya kaskazini. Iko takriban 650 km kaskazini ya Addis Ababa. Idai ya wakazi ilikadiriwa mw. 2005 kuwa 220,000.

ET Mekele asv2018-01 img12 view from university side.jpg

Kuna chuo kikuu kinachotoa masomo hasa ya kilimo na uchumi.

HistoriaEdit

Mekelle ilianzishwa kama mji mkuu wa Kaisari Yohanne IV katika karne ya 19. Imeendelea kukua kuwa kitovu cha kiuchumi na kiutawala wa Tigray.

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mekelle kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.