Melchior Klesl (19 Februari 155218 Septemba 1630) alikuwa mwanasiasa wa Austria na kardinali wa Kanisa Katoliki wakati wa Urekebisho wa Kikatoliki (Counter-Reformation). Alikuwa waziri na mshauri mkuu wa Mfalme na Kaisari Matthias (1609-1618) na mmoja wa watetezi wakuu wa amani kati ya ligi za kidini ndani ya himaya kabla ya Vita vya Miaka Thelathini.

Cardinal Klesl.jpg

Klesl aliteuliwa kuwa Askofu wa Vienna mwaka 1602 na akapandishwa hadhi kuwa kardinali mnamo Desemba mwaka huo.[1]

Marejeo

hariri
  1. "The Cardinals of the Holy Roman Church, Biographical Dictionary of Pope Paul V (1605-1621), Consistory of December 2, 1615 (VI)". Florida International University.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.