Memunatu Sulemana

Mchezaji wa soka kutoka nchi ya Ghana akicheza kama golikipa

Memunatu Sulemana (amezaliwa 4 Novemba 1977) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani wa timu ya taifa ya Ghana ambaye alicheza kama golikipa. Amekuwa mwanachama wa timu ya taifa ya wanawake ya Ghana.

Memunatu Sulemana
Amezaliwa 4 Novemba 19977
Ghana
Nchi Ghana
Kazi yake Mchazaji wa mpira wa miguu

Kazi hariri

Katika ngazi ya klabu Sulemana alichezea Post Ladies nchini Ghana [1] . Hapo awali alichezea Pelican Stars katika Ligi Kuu ya Wanawake ya Nigeria.[2]

Marejeo hariri

  1. "List of Players" (PDF). FIFA Women's World Cup China 2007. FIFA. 2007. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo October 14, 2012. Iliwekwa mnamo 2007-09-28.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  2. "Nigeria: AWC: Falcons Are African Queens - Win Trophy for Keeps". 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Memunatu Sulemana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.