Mere Lava
Mere Lava ni kisiwa cha Vanuatu, kimojawapo cha Visiwa vya Banks. Kiko upande wa kaskazini wa kisiwa cha Maewo. Eneo la kisiwa ni 18 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Tamate. Mwaka wa 2009 walihesabiwa kuwa watu 650. Hawa wote huongea Kimwerlap.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|